UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

Sio kweli, kuna dini moja kadiri wanavyosoma wanazidi kuwa wadini
 
Hongera Sana Team
 
Sio kweli, kuna dini moja kadiri wanavyosoma wanazidi kuwa wadini
Wanavyosoma nini?
Wanavyosoma kitu gani wanazidi kuwa wadini ?!!!

Kwanza Kuna tofauti ya DINI na UDINI......

Duniani kuna dini nyingi ambazo zote zinaelekeza ubobezi wa imani husika....

Ninyi wanadini mnapenda sana kuongozwa na HISIA na kutetea "ulevi wenu"....nyote tu....na ndio maana WEWE utatoa kauli tofauti na atakayeitoa wa DINI nyingine.....

By the way DINI ni imani tu.....kwa kuwa ni imani isiyo "tangible" basi "waelewa" walioko ndani ya dini hizo na wale walioko nje wala hawasigani na kuwabagua wengine HADHARANI AMA KIFICHONI...

AMKENI KUTOKA ULEVINI na muwe watu wa imani kweli na dini zenu bila ya kuathiri hisia+ uhalisia walio nje yenu......

#Siempre JMT
 
Wote ni siku ya Ijumaa
Hebu ionee aibu nafsi yako hata kidogo...hata kidogo tu japo uko na ID feki.....

Tanzania haijaanza jana....na jukumu letu kuifanya INAENDELEA NA KUSTAWI VIZAZI BAADA YA VIZAZI.....

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
 
Naona hangaya anajipanga na twente twente faivu, yetu macho na masikio......
 
Umeandika kitu kikubwa sana hapa aise
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona comrades wengi wana majina ya kiarabu au ndio kusema chama kina wenyewe na wenyewe ni watu wa mtaa wa Gerezani na Kariakoo kwa alhadji Mohamed Said?
 
Umeandika kitu kikubwa sana hapa aise
Komredi hakuna kitu kibaya kama mtu kuandika HISIA+MIHEMKO binafsi dhidi ya UHALISIA.....baadhi ya watu hawataki UHALISIA wa hoja KUNTU.....ndio fikra zao zilipogoma+Umimi+Malezi duni yasiyofundisha CRITICAL ANALYSIS+ukosefu wa elimu bora.....

Ndio hivyo kamarade wangu🙏

SIEMPRE JMT
 
Amemrithi @jingalao
Huyo ni mmimi na mbinafsi...mbona kipindi kile ninauelezea vyema utawala wa awamu ya 5 hakuniambia maneno hayo?!!!

Huyo ni ndugu yangu ila hana itikadi ya CHAMA na ustawi mwema wa taifa letu......

Wengi waliingia UVCCM kwa sababu ya mtu.....

Aweke ushahidi kuwa nilishawahi kuushambulia utawala wa awamu ya 5 kipindi kile na kipindi hiki kipya.....

SIEMPRE JMT
 
Hongera kamati kuu,

Hongera Rais Samia
 
Mkuu safi sana
 
Safi sana chief napenda vile unatetea chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…