Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
WAZIRI wa ulinzi sio nafasi ya yeyote Mkuu. Yapo mambo ambayo ni above our pay gradesI think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.