Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoka SADC Alikomaliza Kibarua ChakeYule mama na ulinzi wapi na wapi.
Why?Totally unfit for the position
Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?Haiwezekani wateja kulipia 27 elfu kuunganishwa ? mbona hata bure inawezekana ? Ukizingatia mita na nguzo ni mali yao na kuunganishwa watu wanapata faida zaidi ya watumiaji unadhani baada ya Bwawa la Nyerere kumwaga hizo megawatt tutazipeleka wapi ?
Sukuma Gang inapukutishwa kimtindo.Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kafanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kuwatoa baadhi ya Mawaziri!
1. Fautine Ndugulile katolewa na nafasi yake inachukuliwa na Dr Ashantu Kijaji!
2. Waziri wa Ujenzi ni Mh Mbarawa
3. Waziri wa Nishati ni Mh January Makamba na nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Dr Eliezer Feleshi,pia Waziri wa Ulinzi ni Dr Tax
Hongera, Mhe. Rais kwa kuendelea kuisuka Serikali ya awamu ya sita ili kuongeza tija , ufanisi na maendeleo ya Nchi yetu. Viongozi wateule karibuni, tuchape kazi kujiletea maendeleo. Kazi iendelee!
Kwa nini isiwezekane?Materials yote wananunuliwa na serikali(nguzo,mita).Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Mkuu hii wizara haina politics ni uwezo wa kulink jeshi na wizara nyingine hasa ya fedha,ukipeleka politics kule lazima upasuke.Totally unfit for the position
Kalemani ana bahati sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wala si mchezo Ni racilism Tena kwa kasi kubwa inaanza kuonekanaMchezo upi boss? Hapo kwa kalemani hangaya kayumba