Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Nafasi kubwa kwako ni ipi?

Kama wabunge wenyewe ndio hao wasiojielewa.

Ndiyo maana watu wanataka katiba ili hicho unachotamani kifanyike kwa weledi.

Kuna nafasi zitoke ktk kundi la watanzania sio eti hadi uwe mbunge.
 
Mwanasheria mkuu wa serikali aliyeteuliwa si ni sukuma gang mwenzetu au?
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.


Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Haiwezekani wateja kulipia 27 elfu kuunganishwa ? mbona hata bure inawezekana ? Ukizingatia mita na nguzo ni mali yao na kuunganishwa watu wanapata faida zaidi ya watumiaji unadhani baada ya Bwawa la Nyerere kumwaga hizo megawatt tutazipeleka wapi ?
 
Back
Top Bottom