Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Kwani mkuu bei hiyo waziri ndio anapanga?tatizo lake ni kila kitu kuingiza siasa, tanesco kuna lundo la matatizo yeye anayatolea matamko ya kisiasa tu na mwisho wa siku hayatekelezeki!!!
Ndio ilikuwa maana yangu hiyo mkuu.
 
Mungu yu mwema aisee ,Mama piga kazi ,uliona wapi tangia uhuru zaidi ya nusu ya baraza la mawaziri ni kabila moja ,tena mama naona kaamua kuwaacha tu wengine waendelee ,angesafisha wote ,hii nchi ni yetu wote ,Asante saaana Rais wetu mpendwa
Lini iliwahi kuwa hivyo? Majungu tu!
 
TEUZI NYINGINE KUBWA KUTOKA MSOGA....TULIANZA NA MAKALA.....MTATUELEWA TARATIBU
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Hivi Kibajaji hawamuoni miaka 20 bungeni hajawahi hata kuwa naibu,wapinzani waliohamia ndani ya miezi kadhaa wakapewa uwaziri
 
Umeandika ushuzi
Ushuzi kwakua nimesema Jk alikuwa mwizi pia?

Kama utatumia hata robo ya akili zako ndogo ulizonazo, hauwezi kuupima utofauti wa JK na JPM katika sekta ya wizi.Watofautishe kwa mengine ila kwenye swala la wizi hawana utofauti, tena bora hata JPM aliiba kijanja.
 
Kwani mkuu bei hiyo waziri ndio anapanga?tatizo lake ni kila kitu kuingiza siasa, tanesco kuna lundo la matatizo yeye anayatolea matamko ya kisiasa tu na mwisho wa siku hayatekelezeki!!!
Hata Tanesco Hawapangi Bei ya Umeme, Bei Ya Umeme Inapangwa na Ewura
 
Chuki za waziwazi... mlaumu BABAKO kwa kukufanya kuwa mtoto wa mitaani. Acha chuki
We unadhani kila mtu ana njaa kama wewe sio? Najua njaa ndo zinakufanya usijikie vibaya kuona meme wako makamba anasema vibaya.Ukimkubali wewe mkewe inatosha, sio lazima wote tumkubali.

Tafuta maisha uachanane na uchawa kijana, nakuona tu unashinda humu kuanzia asubuhi mpaka jioni unasubiria kila nyuzi uruke nayo.
 
Anaitwa Nani
Balozi Monica Juma.

Bila kusahau mwezi uliopita Afrika kusini ameteuliwa waziri mwanamke kwenye wizara ya ulinzi.
Kuna watu maarufu kama Indirra Ghandhi na Gloria Arroyo wamewahi pia kuongoza wizara kama hii katika nchi zao.
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Hata mimi imenishangaza hii mkuu! Hadi mtu anamaliza kipindi chake huko nje, anarudi tu anabandikwa ubunge na uwaziri hapo hapo baada ya kuapa ubunge!!!! CCM wajitafakari! Kundi lote hilo hakuna mbadala wa Marehemu Kwandikwa?
 
Kama alivyokuwa anafanya JPM kujaza Kanda ya ziwa,Biteko,Kalemani,Kingwangala,Mpina,Mabeyo,Siro,wakala nchi weeee,
Sasa ni zamu ya wengine kula,lakini wote si watanzania,hakuna shida,kutesa kwa zamu
ZAMU YA KASKAZINI MTAOMBA PPOOOO
 
Kutengeliwa kwa Kalemani kumeniuma sana,Kalemani alifaa kuwa rais na sio Vinginevyo ,daaa poleni sana Watanzania poleni sana wana Chato mwaka huu wenu.
 
Hivi Kuliwahi kuwa na Waziri Wa Ulinzi Mwanamke Duniani? Nikumbushe Mtani Mshana

What matters ni content ya huo uwaziri na si title peke yake mkuu.Hiyo JD ya waziri wa ulinzi inatakaje? Hii yetu i can assure you hata Pierre Liquid akipewa anaimudu vzr tu tena kwa mafanikio makubwa sana. Halafu kwanini unayaangalia mambo kijinsia? Kama tuna marais wanawake duniani huko (huyu wetu tumweke kando kwanza) kwanini iwe issue kwenye uwaziri wa ulinzi?
 
Kila siku wana kazi ya kubadili sheria na kutunga visheria vipya huko bungeni, wanajifanya hawaelewi kuwa katiba ni kuu kuu inapaswa kubadilika!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…