Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ndio ilikuwa maana yangu hiyo mkuu.Kwani mkuu bei hiyo waziri ndio anapanga?tatizo lake ni kila kitu kuingiza siasa, tanesco kuna lundo la matatizo yeye anayatolea matamko ya kisiasa tu na mwisho wa siku hayatekelezeki!!!