Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
WAZIRI wa ulinzi sio nafasi ya yeyote Mkuu. Yapo mambo ambayo ni above our pay gradesI think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Yellow light is the warning signAs long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi.
Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa mawaziri?
Ni wazi CCM kuna ombwe la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.
Unauhakika au unakurupuka tu kama cha kwanza?Mbona barua haina signature au mkeka unaendelea page ya pili?
Mkuu issue ya mafuta na gesi kulikuwa na mchezo mchafu na pm anahusika..Mchezo upi boss?hapo kwa kalemani hangaya kayumba
Juzi kachaguliwa mbunge wa viti maalum hukusema udini,boya wewe!Udini
Kabudi, Ndalichako, Mpango wakati wanateuliwa kwa mara ya kwanza hawakuwa wabungeI think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Utasubiri sana signature!Mbona barua haina signature au mkeka unaendelea page ya pili?
Hana ubavu wa kupinga. Anaenda kuutekeleza kwa kasi. Mpe mchawi mtoto alee. Mahesabu mazuri.Nauona mradi wa mwalim nyerere unaenda kufa makamba alikua anaupinga sana ule mradi akiwa waziri wa mazingira