Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,Huyu mshauri wa Rais inabidi apimwe aisee, japo tupo nje ya mfumo lakini kwa aina ya mpangilio wa wasaidizi wake unatia shaka sio kidogo.
Lakini acha tuone yaliomo yamo?
Alishindwa kusimamia vifurushi aende tuKilichomtoa Ndugulile ni nini sasa?
Kile kitabu chake alokiandika kimelenga Tanzania Bara tu kwamba ndiko kwenye uhalifu mkubwa.Feleshi kuwa AG nayo ni mambo ya kutia aibu sana ! hivi hakuna wengine ?
Bado unaota team mwenda zake tu?Team mwendazake inapukutika dadeki
kwamba kulikuwa na teuzi siku chache zijazo na baadhi ya majina yalitajwa akiwemo January , huoni kama kuna kuvuja kwa taarifa ?Kwamba yalizunguzwa kama hao wanateuliwa?
Hebu tupe taarifa kamili
Ukiondoa uteuzi wa waziri wa Ulinzi, tengutengua zingine zinahitaji maelezo ili wananchi waelewe.
Yaani serikali yajifanyia mambo yake inavyoona inafaa huku ikisalimu amri kwa mashinikizo kutoka upande ule.
Pole nyingi ziwaendee watanzania wanyonge.
Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?
Hiyo ni feasible mzee?
Nafikiri ni influence za wazazi tu. Mkuu kuingia kwenye system ya serikali hasa ya CCM ni kazi sana kama hauna back up, labda kama atokee mtu ambae hayuko sawa na watu wanaoaminika kuwa ndo wenye CCM apate madaraka makubwa ndo akuingize kama walivyopata bahati akina Polepole, Bashiru, Kalemani, Protas, na MAJALIWA.As long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi.
Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa mawaziri? Ni kweli wanawazidi wenzao uwezo au ni influence tu za wazazi wao ndio zinawafanya wapate kipaumbele?
Kama si hivyo, basi ni wazi CCM kuna ombwe kubwa la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.
Watanzania tuendelee kudai Katiba mpya tupate watu wapya kuongoza hii nchi kwani hata hawa walioenguliwa bado kesho wanaweza kurudi tena katika Baraza la Mawaziri.
Chama kilekile, watu walewale (wanaachiana tu viti) na matokeo yake maisha ya watanzania yanabaki kuwa yale yale miaka nenda, miaka rudi.
Pathetic!
Ni mbunge wa majimbo ya Zanzibar huko
Lilikuwa swala la muda tuu..Hongera January, hatimaye nyota imeng'ara!
We [emoji8][emoji8] u January[emoji126][emoji126]
Kwani issue ni waziri mpya au fwedhaaaa???Hana ubavu wa kupinga. Anaenda kuutekeleza kwa kasi. Mpe mchawi mtoto alee. Mahesabu mazuri.
ππππYellow light is the warning sign
Aisee.. Mlikuwa mnabet bet tukwamba kulikuwa na teuzi siku chache zijazo na baadhi ya majina yalitajwa akiwemo January , huoni kama kuna kuvuja kwa taarifa ?
Ili afit kwenye kiti ahakikishe UMEME HAUKATIKI HATA KIDOGO NDANI YA NCHI HII,I can't tell lie Waikato wa mwendazake umeme haukuwa unakatika hovyo kama Sasa hivi....!Safi sana, kongole kwa wote walioteuliwa hasa Mh. Makamba, huwa nina imani kubwa sana juu yake
Women are stronger than men. Believe itUlinzi kachemsha
Umesoma barua haijaisha geuza upande wa piliMbona hakuna sahihi pale mwishoni?