Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Huyu mshauri wa Rais inabidi apimwe aisee, japo tupo nje ya mfumo lakini kwa aina ya mpangilio wa wasaidizi wake unatia shaka sio kidogo.

Lakini acha tuone yaliomo yamo?
Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,

Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
 
Viroja hivi!!!! Mbona hukuwahi kuhoji teuzi za dhalimu mwendazake? Na hizi teuzi za leo zimefanywa na Chifu Hang ya au lile kundi la wahuni alilolisema Chakubanga?

Ukiondoa uteuzi wa waziri wa Ulinzi, tengutengua zingine zinahitaji maelezo ili wananchi waelewe.

Yaani serikali yajifanyia mambo yake inavyoona inafaa huku ikisalimu amri kwa mashinikizo kutoka upande ule.

Pole nyingi ziwaendee watanzania wanyonge.
 
Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?

Hiyo ni feasible mzee?

Ata hiyo elf 27 bado ni nyingi. Maana kuna makato kibao kila ukinunua umeme. Au wa weke kukatwa kiasi fulani cha hela kwa mwezi kufidia hizo nguzo. Suala la kulipia nguzo alafu inabakia kua nguzo yao ni wizi huo. Kama vipi waseme kabisa nguzo ni ya mteja
 
As long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi.

Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa mawaziri? Ni kweli wanawazidi wenzao uwezo au ni influence tu za wazazi wao ndio zinawafanya wapate kipaumbele?

Kama si hivyo, basi ni wazi CCM kuna ombwe kubwa la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.

Watanzania tuendelee kudai Katiba mpya tupate watu wapya kuongoza hii nchi kwani hata hawa walioenguliwa bado kesho wanaweza kurudi tena katika Baraza la Mawaziri.

Chama kilekile, watu walewale (wanaachiana tu viti) na matokeo yake maisha ya watanzania yanabaki kuwa yale yale miaka nenda, miaka rudi.

Pathetic!
Nafikiri ni influence za wazazi tu. Mkuu kuingia kwenye system ya serikali hasa ya CCM ni kazi sana kama hauna back up, labda kama atokee mtu ambae hayuko sawa na watu wanaoaminika kuwa ndo wenye CCM apate madaraka makubwa ndo akuingize kama walivyopata bahati akina Polepole, Bashiru, Kalemani, Protas, na MAJALIWA.

Kizembekizembe ni ngumu sana kupata nyazifa za juu, ndomaana Sasa hivi uatashuhudia uenguliwaji wa watu wote ambao hawana link na lile kundi linaloaminika kama (wenye CCM) kwasababu aliyewaweka hayupo tena.

Mgombea Urais ajae atashangaza sana, si ajabu akawa ni Madelu😅. Always wanazungukana tu humohumo.
 
Back
Top Bottom