Sasa Ndungulile amefanya nini kwenye hiyo wizara?Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,
Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
Mkuu cost sharing... huwezi sambaza umeme BUREEEEHaiwezekani wateja kulipia 27 elfu kuunganishwa ? mbona hata bure inawezekana ? Ukizingatia mita na nguzo ni mali yao na kuunganishwa watu wanapata faida zaidi ya watumiaji unadhani baada ya Bwawa la Nyerere kumwaga hizo megawatt tutazipeleka wapi ?
Teuzi zile nilikuwa nazitafakari bila kuandika hapa.Viroja hivi!!!! Mbona hukuwahi kuhoji teuzi za dhalimu mwendazake? Na hizi teuzi za leo zimefanywa na Chifu Hang ya au lile kundi la wahuni alilolisema Chakubanga?
Ha ha haYule mama na ulinzi wapi na wapi.
BROBABLY...!Makamba the next President?
Zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa zililenga pia kuwapata watu makini nje ya wabunge wa majimboni but ndiyo hivyo tenaa...Nafasi kubwa kwako ni ipi?
Kama wabunge wenyewe ndio hao wasiojielewa.
Ndiyo maana watu wanataka katiba ili hicho unachotamani kifanyike kwa weledi.
Kuna nafasi zitoke ktk kundi la watanzania sio eti hadi uwe mbunge.
Hakuna viumbe dhaifu Kama kina mama broo, unaona tunavyo yumba sa Iv?? Kama gari limekata center bolt..Women are stronger than men. Believe it
Teuzi zile nilikuwa nazitafakari bila kuandika hapa.
Waliopo wengi wana njaa ya uraisi chifu Hangaya kaona itamletea shidaI think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Ngoja tukupe wewe unasemaje?Ulinzi kachemsha
mchezo gani mkuuNilijua kwa Kalemani....huo mchezo wao walioufanya umemkost.. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Hapana, safari hii CCM kuna tatizo kubwa ambalo ni vigumu wao kama wao kulitatua.Na teuzi hizi ungetafakari kimya kimya Mkuu INGEPENDEZA!!! πππ
Unapima kuyumba ukilinganisha na awamu gani?Hakuna viumbe dhaifu Kama kina mama broo, unaona tunavyo yumba sa Iv?? Kama gari limekata center bolt..