Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Unajua barua hii nilipoona nikajua unekoteza kutokana na staili ya uandishi kumbe kweli bwana ya Kurugenzi ya Ikulu? Loh! Sawa
 
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kafanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri,nakuwatoa baadhi ya Mawaziri!
1. Fautine Ndugulile katolewa na nafasi yake inachukuliwa na Dr Ashantu Kijaji!

2. Waziri wa Ujenzi ni Mh Mbarawa
3. Waziri wa Nishati ni Mh January Makamba na nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Dr Eliezer Feleshi,pia Waziri wa Ulinzi ni Dr Tax
Ulinzi kachemsha
 
Back
Top Bottom