Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Majanga
 
Jafo na Kijaji wangekuwa ni wakristo wasingebaki
 
Alinichekesha Chalamila kuwa wafanyabiashara wa Kariakoo wamegoma kwakuwa nyuma yao kuna wanasiasa. Kwa hiyo ameaminisha uma kuwa wanasiasa wa upinzani wanahoja zinazokubalika? Halafu badala ya kutatua Kwa hoja anapenda nguvu itumike.
Chalamila hajawahi kuwa na akili timamu
 
Mimi naona ni mkakatiti wa kuhamisha mali za Zanzibari kuja Zanzibara.
 
Big Mistake . Let us wait and see 1st quarter collection
 
Jaffo anatafutiwa timing tu hii ya kuhamishwa hamishwa soon watamla kichwa akalee wake zake wanne, ila at least yeye Huwa anatumia Common sense kuliko yule Kijaji hakupaswa kabisa kuwa Kiongozi sijui hata hiyo PHD kaipataje.
Phd zinanunuliwa wala si kazi ngumu
 
UMEJAA UBAYA NDANI YA MOYO WAKO NA ROHONI PIA, UMEJAA UBINAFSI WA UTANGANYIKA NA UZANZIBARI, ONDOA PEPO HUYO, BILA KUBADILISHA KIONGOZI, ENDAPO RAIS ANGELIKUWA MBINAFSI ANGESHINDWAJE KUTOA AMRI YA KUPELEKA FEDHA ZANZIBAR?, TUACHE AKILI CHAFU ZA KAMASI, TUWE ZAIDI POSITIVE, NAFASI HII INAHITAJI MZALENDO WA KWELI, NA SI MTANGANYIKA AU MZANZIBAR.
 
Sasa hivi ile aliyekuwa RC wa Simiyu kufumua marinda imeshafunikwa mazimaaa.
 
wa dini ile lazima tuwe wengi! Mzanzibar anakuwa Mkuu wa TRA Tanganyika na TRA is not union matter
 
what ambacho haujui ni kwamba huyo mtu ameshafanya kazi TRA muda tu na alitoka bara kwenda ZRA na nahis ameshawah kuwa meya hapo DSM

next time do your research

huo mda wa kufanya hiyo research anatoa wapi? mioyo yao imeshajaa chuki za kibaguzi
 
Kadata inasemekana ana ukuda a la Lema
 
Naumia sana mtu mmoja, anahamua kupotosha wenzie. Hasa kwenye mambo ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…