Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Kidata na Mzee wa ups and downs. Amezoea hizi post hazimpi taabu. Umri nao umeenda
 
what ambacho haujui ni kwamba huyo mtu ameshafanya kazi TRA muda tu na alitoka bara kwenda ZRA na nahis ameshawah kuwa meya hapo DSM

next time do your research
Kama huyu bwana aliteuliwa na rais wa Zenj, mwenye mamlaka kamili inakuwaje rais Samia anamteua mtu ambaye tayari yuko kwenye uteuzi wa rais mwingine?
 
TRA ni ya muungano, lakini ZRA siyo. Kutoka ZRA kwenda TRA ni sawa, lakini kinyume chake haipo!
hawa wabunge ambao wanaridhia ujinga huu kuna siku watanyongwa maana wanaiuza tanganyika
 
Kilio ni kile kile cha Mzanzibar kupewa nafasi ya kazi huku Bara,wakati hakuna mtanganyika anaweza kupewa nafasi ya kazi Zanzibar!
Kiutendaji hata kama ni mzanzibar bado kuna watendaji walio chini yake ambao wanaifahamu Kariakoo watamsaidia.
Nadhani kwa hilo hakuna shida!
 
Siasa maji taka ndio hizi. Akili za hovyo kabisa
 
CCM bara inashangilia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Watanganyika Wana PhD ila sijaona faida zake kwa kweli.
Watu hawajiulizi wanasema ndiyo Kila kitu!
 
Sasa huyo Mwenda si mpare wa Tanganyika, shida ipo wapi.??
 
Hata akiwa Mzanzibari ni mtanzania
 
Mwenda ni Mgogo wa Dodoma
 
Bora wanzazibar kuliko wasukuma.mama samia. Ukiweza sambaza wapemba wawe wakuu wa mikoa kote nchini hata na madc ukiweza .
2025 mama Samia ikulu mapemaaaa saa mbili asubuhi
 
Kwani kirefu cha TRA ni nini na je Zanzibar sio Tanzania au

Tuache kuleta post zisizo na nia njema kwa taifa letu tuondoe chuki zisizo na mpango, Mama yupo kwaajili ya Watanzania wote kwa ujumla tumuunge mkono tusiwe watu wakulaumu tu
 
Ukibanwa ukaambiwa uthibitishe unachoongea utakuwa na majibu.
 
Watanganyika wengi wanafanyakazi Zanzibar kwenye hospitality.

Charles Hilaly yupo ikulu.
 
NGOJA TUONE NANI ATAMTEUA KAMISHNA MKUU WA ZRA. SIJUI KAMA TUTATANGAZIWA?? I'm waiting
 
Ni Mtanganyika wa lringa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…