UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom,
HAKUNA mbobezi wa Electronics na Telecom hapa Tanzania. Huyo Maharage tupa kule.

Rais kasema TRA na TPA mifumo haisomani! Inabidi tuuze mashirika kwa Mwarabu ili yasomane.

Kama huwezi kufunga networking server inayounganisha TPA na TRA wala huna akili ya ku contract kampuni ije kuwafungia, mashirika ya umma mnauza mazima, huwezi kunambia kuna mbobezi nchi hii wa electronics au wa chochote for that matter.
 
Watengulie department ya technical rea wa ovyo wapo kwajiri interesting zao main contractor wanatumia jina la replubic of Tanzania ktk mikataba na sub contractor 95% resposiblity sub contractor to run project and to provide all facility before any payment ya main contractor before any support ya main contractor before any cooperation mpaka results ya kazi ili automatically sub contractor ndio mwenye mradi awalioni kazi kura rushwa na kuwasaidia wezi kupata malipo sio halali kujita wao main contractor kwa kuidanganya serikali wata provide all facility na kuendesha miradi kwa pesa yao uwezo uwo wanao wakija ku sub contractor izo gharama zote wanamtegemea sub contractor rea kuendesha miradi personal watanzania tunaibiwa kisayans
 
Romanus wa rea anawakwamisha Sana Wakandaras wazawa kwa maslahi yake binafsi aondolewe
 
1695727867757.png
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Pia soma;

nchi hii tuna viongozi wa ajabu sana kuanzia mhimili mkuu
 
Back
Top Bottom