UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

hivi Samia mimi hunioni au kunifikria tu?
Samia kuwa na huruma basi nimekupigania sana.
Umeandikaa Kwa uchungu sana aiseé [emoji23][emoji23][emoji23] una connection mkuu ww endeleaa kupambana tu ,samia anawapa ulaji aliotoka nao mbalii..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiteuliwa teulika...

Ugomee TEUZI??? Hujitaki? Ukiikera MEZA kuu ya Vipepeo weusi wanakupoteza tu Duniani.
 
Umeandikaa Kwa uchungu sana aiseé [emoji23][emoji23][emoji23] una connection mkuu ww endeleaa kupambana tu ,samia anawapa ulaji aliotoka nao mbalii..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuchangamusha genge mkuu..
wanatunyima teuzi hata za Udc nakosa
 
Hapana, hiyo inaonyesha ulikuwa vizuri kote huko ndio maana unapelekwa sehemu tofauti ili uonyeshe maunyama yako
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Futuhiiiiii

Ni futuhiiiiiiii
 
Back
Top Bottom