UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

Maharage Chande
emoji38.png
emoji846.png

Kutoka kuwa ED wa TANESCO----->ED wa TTCL(Siku 3) mpaka Postamasta..[/color][/b]

Tusishangae kesho akatenguliwa na ka ujumbe ka "Atapangiwa kazi nyingine".
Katika hali ya kawaida iwapo kíongozi anaonesha udhaifu katika kutekeleza majukumu yake, na has katika sehemu nyeti kama Ile ya nishati anaonfolewa na kupisha wengine .
Dah anaenda kusimamia vifurushi vinavyotumwa kupitia abood bus service, maisha haya.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Bora ingekuwa hiyo ya Abood. Atasimamia EMS Tu ambayo umuhimu wake ni wakati wa kuchagua huyo.
Dah anaenda kusimamia vifurushi vinavyotumwa kupitia abood bus service, maisha haya.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wazazi waangalie majina ya kuwapa watoto wao,Jina zuri kama Muhammad au Issa mwana wa Maryam,au basi la kibantu kama langu hili Machirika hawakuona hadi wampe jina mtoto wao Maharage kweli?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Hii ina onyesha Kuna file lime mkera Mama kiasi akasema akawe postmaster alafu awe na ulinzi Yani anamwagiwa kunguni kiasi acha kabisa. ......
 
Tanesco was too big for him, ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom, Ila maisha haya Maharage ametoka Kwenye shirika Kubwa sana Tanesco, Yani shirika lenye assets nyingi kitaa kuliko shirika lolote lile la Umma hata kwa budget bado Tanesco is the leading

Kule vodacom huenda hakuwa kwneye technical position iliyompa uzoefu.
Ndio maana kaondolewa tena
Here is the thing about mashirika ya uma ambayo majority ya kazi zake ni za kiunfundi, hayataki politics.
 
Tanesco was too big for him, ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom, Ila maisha haya Maharage ametoka Kwenye shirika Kubwa sana Tanesco, Yani shirika lenye assets nyingi kitaa kuliko shirika lolote lile la Umma hata kwa budget bado Tanesco is the leading
Now days afadhali ubakie private kuliko huku kusikokua nauhakika
 
Baada ya Maharage chande kuliwa kichwa cha Mkurugenzi mtendaji TANESCO na kupewa UKURUGENZI MKUU TTCL leo Mchana ameliwa Tena kichwa na kupelekewa kuwa Postamasta mkuu na kunyang'anywa Medani ya UKURUGENZI MKUU..
...Na kwa figisu figisu tu, Safari hii hawezi kukataa anachopoewa hakuna cha No VX wala nini au akajichagulie Nissan Patrol(inasadikika alifanya hayo)

Atatembelea SU? na nembo ya Posta?
 
Now days afadhali ubakie private kuliko huku kusikokua nauhakika
Shida mtu anatoka Private kwenye ka- NGO au ka- Taasisi ka watu 10 au 20 ambako hata uzoefu wa complex corporate management hana, halafu anakabidhiwa shirika complex kama Bohari ya Dawa(MSD) au TANESCO,lazima aishie kupuyanga kama Maharagwe au Mavere DG wa Sasa wa MSD.Mamlaka za uteuzi zinapaswa kuangalia weledi na uzoefu wa Taasisi au kada husika na siyo kutegemea lobbying na KNOW WHO
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Duh, nchi hii ndio ilipofikia, hata genge la machungwa haliendeshwi hivi
 
Kisaikolojia Maharage,anaathirika,utu utumike wamtulize sehemu moja.i
 
Ilitakiwa kipara ngoto asimuache mwenzake waende wote huko ughaibuni sasa ndugu yake anapitishwa kwenye moto yeye amekula camouflage huko.
Kipara hana maana,akamsogezea mwanae nepi amsitiri kwa muda ila dah wahuni wakaluka nae ndondo.
 
Haiwezekani mkuu wa nchi anirushe rushe atakavyo alfu niendelee kumfumiliaa
Sitokubali

Mh rais Kama humtaki chande mfukuze tu aondoke zake kwenye utumishi wa umma akafanya kazi zake private sector

Na hat hvyo huyo aliye mtoa pale ktk uposta masta kosa lake Ni lipi Hadi umuweke maharage hapo

Maharage husiripoti ofisini Hadi PDF mpya itoke Tena
 
Duties and responsibilities,
Responsibilities of a postmaster typically include management of a centralized mail distribution facility, establishment of letter carrier routes, supervision of letter carriers and clerks, and enforcement of the organization's rules and procedures.
 
Back
Top Bottom