Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Ulanga kufanya nini TTCL?Kumuondoa Ulanga TTCL lilikuwa ni kosa la kiufundi...
Sijui kwa nini Samia anaingizwa sana machaka na washauri wake...
Posta juzi wamezindua jengo kali arusha kule, posta si barua tuHuyu maharage atakuwa kampigia Mheshimiwa kujitetea siyo bure.
Sasa posta masta nani ataposti barua tena?
Au kazi ya kupokea barua za kuomba kazi, nazo ipo nini ile , mmmh karongwa
So tatizo lipo wapi?Kwamba shida/tatizo ni huyo Maharage? Acheni hizo bwana, sote tunajua tatizo lilipo...tunalifumbia macho tu.
Kwa hio Posta ndio ikapigwe au tusubiri ule msemo wa 'atapangiwa nafasi nyingine'Hahahaha!.
Mungu kasikia maombi. TTCL isipigwe pia.
😂😂😂 na ataiva kweliBwana maharagwe anarushwa rushwa mpaka aive.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Yaani ni Skudu makudubela 😂😂😂Samia anatuchanganya
Kwanini Maharage Chande asiteuliwe kuwa mbunge wa viti maalumu?
Kurukaruka Kwa Maharage ndio kuiva kwake.
Sababu ni Kilaza.Kumuondoa Ulanga TTCL lilikuwa ni kosa la kiufundi...
Sijui kwa nini Samia anaingizwa sana machaka na washauri wake...