Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu. Ungeweka neno BETTING badala ya VETTING ungeeleweka vizuri Sana.Kwan samia anateua yye au anateuliwa vip kuhusu VETTING
Vetting ni mfumo wa kuchambua au kuteua kitu.Mkuu. Ungeweka neno BETTING badala ya VETTING ungeeleweka vizuri Sana.
Inamaana hakuna kitu kingine Cha kuvunja zaidi ya bodiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)...
Ndio kusema MAHARAGE cheo kimepanda au kimeshuka?
Najua umenielewa.Vetting ni mfumo wa kuchambua au kuteua kitu.
👉Betting ni masuala ya michezo ya kubahatisha.- a.k.a kamari🤔
aisee!
Shirika la Posta halina cheo cha Mkurugenzi kwahiyo posta masta ndo anakuwa boss Mkuu wa Shirika.!Msaada wakuu;
Posta master mkuu anaishije ofisini na anafanya nini?
Demotion ya hali ya juu sana. Posta masta 😂😀 kabisaa kutoka kwenye ukurugenzi dah. Angejiuzulu tu kutunza heshima yake. CCM ni janga la taifa namba moja.Huyu mama anahangaika sana kama umeona mtu hafai SI umtoe mazima tu!!
Mimi nafikiri hata akiwapa holiday ya miezi miwili wote kwa ujumla hatutaona tofauti yeyote kiutendajiVetting zero hamna kitu hapa.
Kibaya zaidi mazee yaliochoka akili bado yanawekwa
Mpaka Segerea au Keko!Bwana maharagwe anarushwa rushwa mpaka aive.