babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Maharage hayajaiva ndo mana watu wanajamba hovyo.
Haya next
Haya next
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa vijana wenyewe ndio kina Maharagwe ,Nape, January, Makonda, Ally furahaVetting zero hamna kitu hapa.
Kibaya zaidi mazee yaliochoka akili bado yanawekwa
Nguvu ya wanamtandao ni balaaHahahaha!.
Mungu kasikia maombi. TTCL isipigwe pia.
ULANGA MGANGA WAKO FUNDI🙌Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa ajili ya Misa nyingine sio? By the time mnamaliza mkitoka nje unapewa taarifa mandondo atapangiwa kazi nyingine.
Anasubiri asome kwanza JfNi kwamba mama anabahatisha au!!![emoji848][emoji848]
Tuvuke kwenda wapi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi mamlaka sina hakika kama wanajua wanachokifanya! Mbona trials zimekuwa nyingi sana? Tutavuka vipi?
Nami niliwaza hivi hivi. Kwani akiacha kazi atapata hasara gani? Maana kiukweli amedhalilishwaSasa hata Mimi sijui nisemeje. Kwani maharage lazima awe na kazi? Kwanini asiachwe aje vijiweni tushiriki naye kwenye mikeka ya kubeti?
Hii inazidi sasa vetting zinaleta shida Idara ya usalama wa taifa wanachemsha otherwise mama hasikilizi anachoshauriwa.Vetting zero hamna kitu hapa.
Kibaya zaidi mazee yaliochoka akili bado yanawekwa
Kwenda Chama kinakotaka kulipeleka taifa.Tuvuke kwenda wapi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu mtiology upo sio Bure.Ni kweli kwamba Teuzi zinafanyika , lakini za safari hii ni Kiboko !
Ulanga aliondolewa Juzi TTCL , leo karejeshwa tena , sasa hatujui shida ilikuwa wapi ? bali tunaona kwamba uteuzi wa namna hii unapaswa kuwekwa kwenye vitabu vya Kumbukumbu...