kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kusoma magazeti tu.Postamasta kazi zake ni zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma magazeti tu.Postamasta kazi zake ni zipi?
Ni mkuu wa posta nchi nzimaPostamasta kazi zake ni zipi?
HAKUNA mbobezi wa Electronics na Telecom hapa Tanzania. Huyo Maharage tupa kule.ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom,
Ndio kinywaji chake pendwa [emoji3][emoji3]apunguze kwakweli
Member yupi huyo?Kuna mamba humu alisaga kunguni.
Msimlaumu samia mengine hayajui. Muwe mnamuambia
Thread closed 🤗🤗🤗Kurukaruka Kwa Maharage ndio kuiva kwake.
Nani!?
Unapoambia kurukaruka kwa maharage ndiko kuiva kwake na hii ndio maan yake!!!Kwa mwendo huu wa teua, tengua;
Tutafika tumechoka!View attachment 2762158
Kuuza maboksi ya kuwekea barua za watejaPostamasta kazi zake ni zipi?
[emoji7]
nchi hii tuna viongozi wa ajabu sana kuanzia mhimili mkuuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Pia soma;
Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo
Pole Lucas mwashambwa. Hata UDAS umekosa? Cheo gani inakufaa sasa? Ukulima wa Mahindi .www.jamiiforums.com
Ndio kulamba stempu laaaaPosta Masta mkuu ndiyo sawa na Mwalimu mkuu?
Akajipange vizuri Sasa na bwanake Januari 🤣🤣Katolewa tena hajamaliza mwaka.