Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

NIPOSINGO

Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
11
Reaction score
39
Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:

IMG_3756.jpg

IMG_3757.jpg

IMG_3758.jpg
 
Hakuna hata aibu na masuala haya? Mahakama ya Rufaa tena? Wakati kesi ya Wazalendo wetu ndio inapelekwa huko?

Wajameni eh, Changa hili, wajameni eh, Changa hili.

Walinda mipaka wapo wapi wakati mipaka inavukwa?
 
Jaji kesi ya Boniface Mwabukusi kanda ya Mbeya aula!

Jaji Mustafa Kambona Ismail wa Mahakama Kuu.

Toka mktaba :

Jurisdiction Tanzania Citation

Alphonce Lusako & 3 Others

vs

Attorney General & 3 Others

(Misc. Civil Cause 5 of 2023) [2023] TZHC 19947 (10 August 2023) Copy Media Neutral Citation[2023] TZHC 19947 Copy Hearing date 28 July 2023 Court High Court of Tanzania

Court Registry High Court Mbeya Registry

Case number Misc. Civil Cause 5 of 2023

Judges Ismail, J., Ndunguru, J., Kagomba, J.

Judgment date 10 August 2023
Language English
Type Judgment
 
amefanya teuzi

Huyu balozi Prof. Kennedy G. Gastorn katika ndani ya wiki moja ameteuliwa kwenda wizara ya mambo ya nje na halafu usiku huu siku chache baada ya uteuzi ameteuliwa kwenda kuwa naibu mwanasheria mkuu

TOKA MAKTABA:
Hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Prof. Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023
1693796627303.png
 
Back
Top Bottom