Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
May beMajaji wengi wanaoteuliwa ni maofisa vipenyo, wanateuliwa maalum kwa ajili ya kesi za uchaguzi kwa niaba ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May beMajaji wengi wanaoteuliwa ni maofisa vipenyo, wanateuliwa maalum kwa ajili ya kesi za uchaguzi kwa niaba ya CCM
Anapanda kwa speed ya Light kama enzi zile Dr BashiruKuna mtu hapo (Professor Gastorn aliteuliwa juzi na akaapishwa kuwa Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje, hata ofisini hajaingia, leo kateuliwa upya kuwa naibu mwanasheria mkuu. Huo ni mfano rahisi sana. Lakini wapo wengi sana wameteuliwa ndani ya miezi mitatu, miezi sita, mwaka wamebadilishwa. Halafu wengi ni watu wale wale. Sasa wanafanya kazi saa ngapi?
Amin, amini nakwambiaMay be
huyu hana sifa za kuwa Rais, ni secetary, tunatawaliwa na copy typist secretaryKuna mtu hapo (Professor Gastorn aliteuliwa juzi na akaapishwa kuwa Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje, hata ofisini hajaingia, leo kateuliwa upya kuwa naibu mwanasheria mkuu. Huo ni mfano rahisi sana. Lakini wapo wengi sana wameteuliwa ndani ya miezi mitatu, miezi sita, mwaka wamebadilishwa. Halafu wengi ni watu wale wale. Sasa wanafanya kazi saa ngapi?
mama yetu anaitwa Dr. 🕔💯 PhD wewe! Hayo mambo ya typewriter aliyafanya enzi hizo! Ila kwa sasa shule ndiyo imelala pale. 😇
[/QUOTE🤣😂 Hata uwe na PhD cheo cha awali hakifi.
Hawezi kutenda kwenye tawala zinazokaa madarakani kwa king'ang'ania madaraka. Yeye atakuwa anapewa muongozo wa namna ya kuamua kesi.Kuna huyo Mtaalamu Gonzi kateuliwa hapo kuwa judge. Jamaa ni fundi kweli kweli wa sheria. Mungu akamuongoze kwenye kutendz haki
Kuna panic inaendelea sijui NINI inasababisha panic hii!!Huyu balozi Prof. Kennedy G. Gastorn katika ndani ya wiki moja ameteuliwa kwenda wizara ya mambo ya nje na halafu usiku huu siku chache baada ya uteuzi ameteuliwa kwenda kuwa naibu mwanasheria mkuu
TOKA MAKTABA:
Hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Prof. Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023
View attachment 2738198
DP World wanaendelea na kazi hiyo single imeshachuja.Bila kutengua uteuzi wa DP World hizi teuzi/tenguzi zingine zinatia kinyaa tu.
Gonzi anakufundisha hadi unaona anatamani awe wewe alafu ajifundishe 😂😂 vile anakuwa active na mizuka yakutosha.Kuna huyo Mtaalamu Gonzi kateuliwa hapo kuwa judge. Jamaa ni fundi kweli kweli wa sheria. Mungu akamuongoze kwenye kutendz haki
Shida ya hivi vyombo sio Knowledge bali Nia ya kutenda haki.Kuna huyo Mtaalamu Gonzi kateuliwa hapo kuwa judge. Jamaa ni fundi kweli kweli wa sheria. Mungu akamuongoze kwenye kutendz haki
Dpw wanapangua hadi majaji. Noma sanaBila kutengua uteuzi wa DP World hizi teuzi/tenguzi zingine zinatia kinyaa tu.
Noma sana. Watu ni wale wale kiasi kwamba wanateuana hadi wanarudia rudia.....kwenye Nchi yenye watu 60MHuyu balozi Prof. Kennedy G. Gastorn katika ndani ya wiki moja ameteuliwa kwenda wizara ya mambo ya nje na halafu usiku huu siku chache baada ya uteuzi ameteuliwa kwenda kuwa naibu mwanasheria mkuu
TOKA MAKTABA:
Hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Prof. Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023
View attachment 2738198
Kanifundisha undergraduate course ya civil procedures law, pia kanifundisha Law school. Yule jamaa akikufundisha usipoelewa wewe mwenyewe unajitukana hivi " jamani Mimi Sina akili TU ila Mwalimu katimiza wajibu wake"Gonzi anakufundisha hadi unaona anatamani awe wewe alafu ajifundishe [emoji23][emoji23] vile anakuwa active na mizuka yakutosha.
Anajua na anapenda na wewe ujue ni chungu kimoja na Taisamo