denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Ndio maana watu wakiambiwa serikali haikushinda ile kesi wanatakiwa kuelewa, hiyo asante Samia ameitoa bila aibu kwa yule jaji mpuuzi aliyefanya kazi ya shetani, sawa na wakina Jerry Slaa na Kitila Mkumbo waliopewa uwaziri kwa kuitetea kazi ya shetani.
Naamini hili taifa kwa sasa ndio lina kiongozi mbovu zaidi ya wote waliowahi kutokea kwenye historia yake, kiongozi asiyeona aibu, wala asiyeogopa kwenda kinyume na matakwa ya wale anaowaongoza, kiongozi katili asiyewajali kabisa anaowaongoza.