Rammyq
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 269
- 773
Na uzuri wao wote wawili ni watu wanaofikika kirahisi. Yaani umepata legal problem unamtafuta hata kwenye simu ukijitambulisha tu kuwa Mimi ni mwanafunzi wako anakupa guidance chap. Sio wale walimu miungu watu wanaotaka kuabudiwa kina.........Gonzi anakufundisha hadi unaona anatamani awe wewe alafu ajifundishe [emoji23][emoji23] vile anakuwa active na mizuka yakutosha.
Anajua na anapenda na wewe ujue ni chungu kimoja na Taisamo