Ponsio Pliato alitoa hukumu kwa shinikizo ili apate kuwafurahisha Wayahudi kwa maslahi ya kisiasa, ili matokeo yake yaliishia kwa yeye mwenyewe kujinyonga, na wao kupoteza ufalme wao wa Yuda, makabila yao, hekalu lao, na imani yao waliyoirithi kutoka kwa mababu zao.Ndio maana watu wakiambiwa serikali haikushinda ile kesi wanatakiwa kuelewa, hiyo asante Samia ameitoa bila aibu kwa yule jaji mpuuzi aliyefanya kazi ya shetani, sawa na wakina Jerry Slaa na Kitila Mkumbo waliopewa uwaziri kwa kuitetea kazi ya shetani.
Naamini hili taifa kwa sasa ndio lina kiongozi mbovu zaidi ya wote waliowahi kutokea kwenye historia yake, kiongozi asiyeona aibu, wala asiyeogopa kwenda kinyume na matakwa ya wale anaowaongoza, kiongozi katili asiyewajali kabisa anaowaongoza.
Hili swali ni sawa na kujiuliza Kila siku mabus ya mkoani yanabeba abiria kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Hao abiria wanaishi saa ngapi, hawataisha? .Kila wiki kuna uteuzi mpya, hao wateuliwa wanafanya kazi saa ngapi?
Huyu mama ajitathmini.
Kuna huyo Mtaalamu Gonzi kateuliwa hapo kuwa judge. Jamaa ni fundi kweli kweli wa sheria. Mungu akamuongoze kwenye kutendz haki
Taifa la kihanithi, linatawaliwa na secretari, mpiga typewriterNdio maana watu wakiambiwa serikali haikushinda ile kesi wanatakiwa kuelewa, hiyo asante Samia ameitoa bila aibu kwa yule jaji mpuuzi aliyefanya kazi ya shetani, sawa na wakina Jerry Slaa na Kitila Mkumbo waliopewa uwaziri kwa kuitetea kazi ya shetani.
Naamini hili taifa kwa sasa ndio lina kiongozi mbovu zaidi ya wote waliowahi kutokea kwenye historia yake, kiongozi asiyeona aibu, wala asiyeogopa kwenda kinyume na matakwa ya wale anaowaongoza, kiongozi katili asiyewajali kabisa anaowaongoza.
Nadhan swali ni madereva wanapumzika muda gani na kufanya social responsibility zaoHili swali ni sawa na kujiuliza Kila siku mabus ya mkoani yanabeba abiria kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Hao abiria wanaishi saa ngapi, hawataisha? .
Taasisi zipo nyingi zinafanyiwa uteuzi,
Kisingizio cha Muungano na kupewa urais kupitia katiba mbovu, Mama Abdul ataiharibu Tanganyika na utapata hasara ya Karne,U T E U Z I.
1. Katibu Mkuu
2. Naibu Katibu Mkuu
3. Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali
4. Majaji wa Mahakama ya Rufani
5. Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2738193View attachment 2738194
Viongozi wote wa Africa wako hivyo.Ndio maana watu wakiambiwa serikali haikushinda ile kesi wanatakiwa kuelewa, hiyo asante Samia ameitoa bila aibu kwa yule jaji mpuuzi aliyefanya kazi ya shetani, sawa na wakina Jerry Slaa na Kitila Mkumbo waliopewa uwaziri kwa kuitetea kazi ya shetani.
Naamini hili taifa kwa sasa ndio lina kiongozi mbovu zaidi ya wote waliowahi kutokea kwenye historia yake, kiongozi asiyeona aibu, wala asiyeogopa kwenda kinyume na matakwa ya wale anaowaongoza, kiongozi katili asiyewajali kabisa anaowaongoza.
Kuna mtu hapo (Professor Gastorn aliteuliwa juzi na akaapishwa kuwa Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje, hata ofisini hajaingia, leo kateuliwa upya kuwa naibu mwanasheria mkuu. Huo ni mfano rahisi sana. Lakini wapo wengi sana wameteuliwa ndani ya miezi mitatu, miezi sita, mwaka wamebadilishwa. Halafu wengi ni watu wale wale. Sasa wanafanya kazi saa ngapi?Hili swali ni sawa na kujiuliza Kila siku mabus ya mkoani yanabeba abiria kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Hao abiria wanaishi saa ngapi, hawataisha? .
Taasisi zipo nyingi zinafanyiwa uteuzi,