Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

Anapanda kwa speed ya Light kama enzi zile Dr Bashiru
 
Lucas Muoshambwa vp oooh sorry hii ni idara ya sheria sio wapiga debe
 
huyu secretary atatumaliza...nchi kutawaliwa na secretary...
 
huyu hana sifa za kuwa Rais, ni secetary, tunatawaliwa na copy typist secretary
 
Ila hii nchi mpaka hapa ilipofikia, inahitaji mabadiliko ya haraka ya Katiba. Mambo yakiachwa yaendelee kuwa hivi hivi, haki ya nani mbele ya safari kutatokea balaa kubwa.
 
Aisee! Utafikiri kuna remote inayomwongoza mama! Siamini kama huu uteuzi unafanywa kwa utashi wake.
Anyway lazima tukubaliane na hali ni Mkuu wa nchi lazima tuheshimu na kutii maagizo yake.
 
Ila tunamuomba sana Mhe. RAIS baada ya kuwaapisha Majaji hao wasambazwe kwenye mikoa ya pembezoni ambapo kuna mahitajio zaidi, tunaomba wasilundikwe dsm, arusha na mwanza, waletwe huku kigoma, rukwa, bukoba ambapo kunamahitajio zaidi
 
Kuna huyo Mtaalamu Gonzi kateuliwa hapo kuwa judge. Jamaa ni fundi kweli kweli wa sheria. Mungu akamuongoze kwenye kutendz haki
Hawezi kutenda kwenye tawala zinazokaa madarakani kwa king'ang'ania madaraka. Yeye atakuwa anapewa muongozo wa namna ya kuamua kesi.
 
Kuna panic inaendelea sijui NINI inasababisha panic hii!!

Trial and error Hii!!

Ngoja tuone!
 
Kuna huyo Mtaalamu Gonzi kateuliwa hapo kuwa judge. Jamaa ni fundi kweli kweli wa sheria. Mungu akamuongoze kwenye kutendz haki
Gonzi anakufundisha hadi unaona anatamani awe wewe alafu ajifundishe 😂😂 vile anakuwa active na mizuka yakutosha.

Anajua na anapenda na wewe ujue ni chungu kimoja na Taisamo
 
Noma sana. Watu ni wale wale kiasi kwamba wanateuana hadi wanarudia rudia.....kwenye Nchi yenye watu 60M
 
Gonzi anakufundisha hadi unaona anatamani awe wewe alafu ajifundishe [emoji23][emoji23] vile anakuwa active na mizuka yakutosha.

Anajua na anapenda na wewe ujue ni chungu kimoja na Taisamo
Kanifundisha undergraduate course ya civil procedures law, pia kanifundisha Law school. Yule jamaa akikufundisha usipoelewa wewe mwenyewe unajitukana hivi " jamani Mimi Sina akili TU ila Mwalimu katimiza wajibu wake"

Pia Kuna mtaalam Dr Taisamo , yule baba anajua, anakufundisha probate mpaka unapata hamu ya kuandika wosia wakati haumiliki chochote[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…