Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kitendo cha kumweleza OCD amweke ndani mtu aliyekuwa anajieleza ingawa alikuwa tofauti na mtizamo wake! Kinatosha kumpiga chini
Hapana amechemka bana
Yaani ardhi ilivyo na madudu mengi angemuonya tu na kumuacha.
Sasa huyu atafanya nini?
 
Alikosea sana, bangi aliyovuta ile siku asivute tena.

Kwa hili mama kafanya vizuri, wanaoleta mafarakano sio wa kuvumiliwa.
Hajafanywa vizuri. Yule jamaa akiongea sentensi ambayo ni criminal in nature. He indicated that they have been doing a crime behind the scene. He should be in court defending himself not relieved of duty only.
 
Makamba na Nape hawafai kuwa watumishi wa umma hata kidogo
The problem we tend to lose focus. The problem was not two mere cabinet secretaries, it is more than that. The system is rigged to the core. We should focus on getting rid of the head of the ticket and not two mere sacrifices.
 
The problem we tend to lose focus. The problem was not two mere cabinet secretaries, it is more than that. The system is rigged to the core. We should focus on getting rid of the head of the ticket and not two mere sacrifices.
True, lakini hata hii robo mkate sihaba, system nzima imeoza kama tairi imeisha lakini ukaziba pancha ikakusogeza kdg si haba wakati unatafuta hela za kununua tairi mpya. Katiba mpya ni lazima
 
Jerry Silaa ni kama amesaidiwa, alipokuja anaelekea pabaya.. eti OCD chukuwa huyu...pale ni kama amepewa warning.

Mh. Rais Kuna fagio moja la Rc na DC, wale wote wanajisahau na kwenda ndivyo sivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…