covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Hii inaitwa mchawi mpe wmwanao akulele..Watoto wa Boss wameguswa. .
Ila Mwanae mpendwa kasogezwa karibu zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaitwa mchawi mpe wmwanao akulele..Watoto wa Boss wameguswa. .
Ila Mwanae mpendwa kasogezwa karibu zaidi.
Acheni ujinga wenu. Who is Nape bwana, hii nchi ina watu wengi wenye weledi. Kwenye hili nampongeza Rais. Hawa vijana walishaanza ujivuni.Mzee wa fitna,uchaguzi serikali za mitaa 2024 na ule uchaguzi Mkuu 2025 itakuaje?
Engineeeèer somaa hiyo!Ajabu simjui hata waziri wa mambo ya ndani, siasa za huyu maza hazichangamshi enzi za JPM tulijua karibia viongozi kwa majina yao kuanzia ngazi ya chini
Mama anajielewa sana na anazielewa siasa za CCM.Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Hapana amechemka banaKitendo cha kumweleza OCD amweke ndani mtu aliyekuwa anajieleza ingawa alikuwa tofauti na mtizamo wake! Kinatosha kumpiga chini
Hajafanywa vizuri. Yule jamaa akiongea sentensi ambayo ni criminal in nature. He indicated that they have been doing a crime behind the scene. He should be in court defending himself not relieved of duty only.Alikosea sana, bangi aliyovuta ile siku asivute tena.
Kwa hili mama kafanya vizuri, wanaoleta mafarakano sio wa kuvumiliwa.
Ametupa nusu mkate, bado Ummy, Mwigulu, Jafo, Masauni, Bashe, KijajuMimi sio shabiki wake ila hapa ameubonda vibaya sana
Anataka wahusika wa enjoy weekend zao kwanza.Anapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
The problem we tend to lose focus. The problem was not two mere cabinet secretaries, it is more than that. The system is rigged to the core. We should focus on getting rid of the head of the ticket and not two mere sacrifices.Makamba na Nape hawafai kuwa watumishi wa umma hata kidogo
Mbona imeungamishwa pamoja na uzi huu. Namuona Waziri mkuu wa Israel ndugu yetu Mheshimiwa Benjamini Netanyahu anatype hapa.Naitafuta thread yake
True, lakini hata hii robo mkate sihaba, system nzima imeoza kama tairi imeisha lakini ukaziba pancha ikakusogeza kdg si haba wakati unatafuta hela za kununua tairi mpya. Katiba mpya ni lazimaThe problem we tend to lose focus. The problem was not two mere cabinet secretaries, it is more than that. The system is rigged to the core. We should focus on getting rid of the head of the ticket and not two mere sacrifices.
Washajua, Makamba anamrukia vichwa baba yake saa hizi kwa kumletea waganga feki.Si ajabu mpaka muda huu hawajui kama wametenguliwa.
Duuhh. AiseeNape Hana shida ya pesa. Anamiliki kampuni tano za simu.juzi kwa mdomo wake alisema milioni 300 Ni hela kidogo Sana kwake.