Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kitendo cha kumweleza OCD amweke ndani mtu aliyekuwa anajieleza ingawa alikuwa tofauti na mtizamo wake! Kinatosha kumpiga chini
Hapana amechemka bana
Yaani ardhi ilivyo na madudu mengi angemuonya tu na kumuacha.
Sasa huyu atafanya nini?
 
Alikosea sana, bangi aliyovuta ile siku asivute tena.

Kwa hili mama kafanya vizuri, wanaoleta mafarakano sio wa kuvumiliwa.
Hajafanywa vizuri. Yule jamaa akiongea sentensi ambayo ni criminal in nature. He indicated that they have been doing a crime behind the scene. He should be in court defending himself not relieved of duty only.
 
Makamba na Nape hawafai kuwa watumishi wa umma hata kidogo
The problem we tend to lose focus. The problem was not two mere cabinet secretaries, it is more than that. The system is rigged to the core. We should focus on getting rid of the head of the ticket and not two mere sacrifices.
 
True, lakini hata hii robo mkate sihaba, system nzima imeoza kama tairi imeisha lakini ukaziba pancha ikakusogeza kdg si haba wakati unatafuta hela za kununua tairi mpya. Katiba mpya ni lazima
 
Si ajabu mpaka muda huu hawajui kama wametenguliwa.
Washajua, Makamba anamrukia vichwa baba yake saa hizi kwa kumletea waganga feki.

Nape kajifungia chooni analia.

1721623751164.png
 
Back
Top Bottom