Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuuh

Wazee wa Goli la Mkono wamewekwa kando.

Najiuliza, kulikuwa na ulazima wowote wa kumstaafisha Mbunge ili kumteua mwingine?

Tunajua Waziri si mtendaji Mkuu wa wizara. Hivyo, ingelikuwa vema yule anayeonekana kufaa angepelekwa kuwa Katibu Mkuu wa wizara husika.
Seems to me Wizara ya Mambo ya Nje, Pamoja na Nape walikuwa wanaplot something against Samia, Bybato was too Young to ruin his political carrier.

Message ya Nape kuwa "We can make you win" ilikuwa ina maanisha any one including Rais ana obligation ya kumuheshimu Nape ili apate nafasi
 
Bora hata Nilipanda Minara
20240721_231448.jpg
 
Back
Top Bottom