Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wizara ya mambo ya ndani hajabadilishwa maana kwa huu utekaji unaowndelea na makanusho ya kitoto hatakiwi kuendelea hapoKama utani vike Nape kutolewa!
Walao heri lakini.
Kuna mwamba humu alitabiri haya mabadiliko 🫡🫡
SHukran Mkuu🙌🤣🤣Hongera bhana
Hatarinna nusu kwa sasa tunatembea na watoto kama mabegiHivi wizara ya mambo ya ndani hajabadilishwa maana kwa huu utekaji unaowndelea na makanusho ya kitoto hatakiwi kuendelea hapo
Hawezi fanya chochote yupo kwenye payroll ya Abdul. Kuelekea 2025 patawaka moto 🔥Sasa ile vita rasmi ya kutumia mitandao ya kijamii kummaliza chura kiziwi inaanza upyaaa.
Kigogo atafufuka kwa kasi mpya.
Niko palee na VPN yangu.
Tutaelewana tu, tutaoneshana makali.
Seems to me Wizara ya Mambo ya Nje, Pamoja na Nape walikuwa wanaplot something against Samia, Bybato was too Young to ruin his political carrier.Duuuh
Wazee wa Goli la Mkono wamewekwa kando.
Najiuliza, kulikuwa na ulazima wowote wa kumstaafisha Mbunge ili kumteua mwingine?
Tunajua Waziri si mtendaji Mkuu wa wizara. Hivyo, ingelikuwa vema yule anayeonekana kufaa angepelekwa kuwa Katibu Mkuu wa wizara husika.
Acha kukariri.Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
CCM ina makundi ya Wazi, we don't know Mwigulu yuko wapi.Mama anamuogopa Mwigulu.
Wanyumbani si rahisi kutolewa kivyepesi namna hiiHivi wizara ya mambo ya ndani hajabadilishwa maana kwa huu utekaji unaowndelea na makanusho ya kitoto hatakiwi kuendelea hapo
Samia ametangaza vita...CCM ina makundi ya Wazi, we don't know Mwigulu yuko wapi.
Haya Makundi yakiungana dhidi ya Samia hatoboi, ndio maana anaenda taratibu