Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuuh

Wazee wa Goli la Mkono wamewekwa kando.

Najiuliza, kulikuwa na ulazima wowote wa kumstaafisha Mbunge ili kumteua mwingine?

Tunajua Waziri si mtendaji Mkuu wa wizara. Hivyo, ingelikuwa vema yule anayeonekana kufaa angepelekwa kuwa Katibu Mkuu wa wizara husika.
Zile posts za wabunge wa kuteuliwa na rais ziko 10 tu, hivyo labda zinalindwa zisimalizike.
 
My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 😂🔥

View attachment 3048265
View attachment 3048264
Mh.January Makamba na Mh.Nape Nauye, hongereni sana kwa utumishi uliyotukuka sana Serikali kuu ....

mmefanya mambo makubwa mno kwenye wizara mlizozitumikia,
na sasa kwa wakati muafaka ubunifu, ushawishi, maarifa na uchapakazi wenu ni muhimu na unahitajika sana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na baadae mwaka ujao Uchaguzi mkuu....

Asanti na Hongera sanaMh.Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuimarisha chama na Serikali yako sikivu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Kuna mtu alinambia hii nikajua kalewa, Japanese nimempigia simu nacheka mana nilimbishia kweli 😹😹😹
Chanzo cha uhakika hicho, kidogo chura kazibuka masikio walau kasikia kwa mbali, kuna mtu alinipa ubuyu wa skendo za marope km wiki 2 zilizopita ila sikumzingatia sana sikumbuki hata alizungumzia nini
 
Back
Top Bottom