Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kuna mtu alinambia hii nikajua kalewa, sasa hivi nimempigia simu nacheka maana nilimbishia kweli 😹😹😹Anapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alinambia hii nikajua kalewa, sasa hivi nimempigia simu nacheka maana nilimbishia kweli 😹😹😹Anapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
amesahau kulikeHatimqe raraa reree leo ameongea
Wengi walijua haikuwa siri hiiWatu walikuwa na taarifa tayari
Huenda ikawa kweli mkuu,Hawa waswahili wanamajungu mnooooKwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Yaani nilijuaga ni roboti sijui ndio mwigulu??amesahau kulike
Waliotenguliwa wanabubujikwa na machozi yapi mheshimiwa
Alafu wote patawakaWatoto wa boss wameguswa... ngoja tuone itakuaje
Zile posts za wabunge wa kuteuliwa na rais ziko 10 tu, hivyo labda zinalindwa zisimalizike.Duuuh
Wazee wa Goli la Mkono wamewekwa kando.
Najiuliza, kulikuwa na ulazima wowote wa kumstaafisha Mbunge ili kumteua mwingine?
Tunajua Waziri si mtendaji Mkuu wa wizara. Hivyo, ingelikuwa vema yule anayeonekana kufaa angepelekwa kuwa Katibu Mkuu wa wizara husika.
Mh.January Makamba na Mh.Nape Nauye, hongereni sana kwa utumishi uliyotukuka sana Serikali kuu ....
Chanzo cha uhakika hicho, kidogo chura kazibuka masikio walau kasikia kwa mbali, kuna mtu alinipa ubuyu wa skendo za marope km wiki 2 zilizopita ila sikumzingatia sana sikumbuki hata alizungumzia niniKuna mtu alinambia hii nikajua kalewa, Japanese nimempigia simu nacheka mana nilimbishia kweli 😹😹😹
Hii ilijulikana kabla hajaropoka yale maneno, ni km alikuwa anatoa dukuduku baada ya kujua atatolewa 😹😹😹Nakumbuka hata Ndugai aliponzwa na kuombaomba msamaha🤣...huyu mama hapendi unafki
Analipwa, ni haki yake kwa mwezi huu. Kwahiyo atalamba mishahara yake kama kawaida.Sasa mtu unatenguliwa trh 21 kabla ya mshahara, kwahy hapo Bwana Nape atalipwa mshahara wa Waziri au mbunge 😂
Mbona hajamgusa Mwigulu NchembaHakuna wa kumtikisa mama ,kama walishindwa mwanzoni pape saizi ndio wataweza? Wathubutu waone kama hawajafirisika.
Na jamaa kukaa kiti bila madaraka huwa anaugua kichwa 🤣 🤣 🤣Sasa mtu unatenguliwa trh 21 kabla ya mshahara, kwahy hapo Bwana Nape atalipwa mshahara wa Waziri au mbunge 😂