Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Bahati mbaya boss wangu ni shamba langu!! So mbolea ndo shukrani kwa shamba langu.... Rais ni breadwinner wa anaowapa kazi!!

Zile kauli za Makonda ooh Magufuli asiyenganishwe na Samia sisi wazee wa administration theories tulijua hatafika mbali... Ndalichako naye alikua nyuma sana kwenye kumsifia her Majesty!!

Huwezi kunyqmqza hata kumtupia tusifa twilight tutatu aliyekupa uwaziri aisee!!
Mimi niko tofauti kidogo na wewe
Mimi nafikili kusifia hakuna maana zaidi kinachotakiwa ni kutekeleza majukumu yako kwa ufanisi wa hali ya juu
Kuliko kazi yako iwe ni kusifia tu alafu hakuna la maana unalofanya
Na najua pia Wakuu na Mabosi wengi wanapenda kusifiwa but wapo wengine hawapendi sifa za kijanga.
 
Bahati mbaya boss wangu ni shamba langu!! So mbolea ndo shukrani kwa shamba langu.... Rais ni breadwinner wa anaowapa kazi!!

Zile kauli za Makonda ooh Magufuli asitenganishwe na Samia sisi wazee wa administration theories tulijua hatafika mbali... Ndalichako naye alikua nyuma sana kwenye kumsifia her Majesty!!

Huwezi kunyqmqza hata kumtupia tusifa twilight tutatu aliyekupa uwaziri aisee!!
We Prof amsifie lasaba d??hahah thubutuu
 
Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Mnatetemeshwa na mchezo wa kitoto 'merry go around', kazi unayo basi. Kila siku hamisha hamisha, huu ni mzaha Sasa!
 
Back
Top Bottom