Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nakuelewa sana! Mi nimetoa maoni yangu kulingana na tawala za Afrika hasa na aina ya Rais inferior tuliyenaye.Mimi niko tofauti kidogo na wewe
Mimi nafikili kusifia hakuna maana zaidi kinachotakiwa ni kutekeleza majukumu yako kwa ufanisi wa hali ya juu
Kuliko kazi yako iwe ni kusifia tu alafu hakuna la maana unalofanya
Na najua pia Wakuu na Mabosi wengi wanapenda kusifiwa but wapo wengine hawapendi sifa za kijanga.
Hayo unayosema wewe ni mambo ya first world!!