Ameshindwa mabasi yasiyozidi 300 anapewa kuchunga mamilioni ya mbuzi atawaweza!!!xiii) Amemteua Dkt. Edwin Paul Mhede kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Dkt. Mhede aliwahi kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART).
Na mbuzi walivyo na jeuri 😄😄😄Ameshindwa mabasi yasiyozidi 300 anapewa kuchunga mamilioni ya mbuzi atawaweza!!!
kwa zile kauli nlishaona hatoboiSpana alizopiga zile kuhusu viongozi kua wanafki kumkataa Magufuli nadhani zimegusa kunako.
Mimi niko tofauti kidogo na weweBahati mbaya boss wangu ni shamba langu!! So mbolea ndo shukrani kwa shamba langu.... Rais ni breadwinner wa anaowapa kazi!!
Zile kauli za Makonda ooh Magufuli asiyenganishwe na Samia sisi wazee wa administration theories tulijua hatafika mbali... Ndalichako naye alikua nyuma sana kwenye kumsifia her Majesty!!
Huwezi kunyqmqza hata kumtupia tusifa twilight tutatu aliyekupa uwaziri aisee!!
Huu uapisho ufike wakati uwe online maana kila mwezi uapisho tunatumia pesa nyingi sana kwenye hizi teuzi tenguzi na apishoUapisho wa Waziri, Wakuu wa Mikoa, Naibu Mawaziri na Naibu Makatibu Wakuuu tafanyika tarehe 04 Aprili, 2024 saa 05:00 asubuhi Ikulu, Dar es Salaam.
🤣Na mbuzi walivyo na jeuri 😄😄😄
We Prof amsifie lasaba d??hahah thubutuuBahati mbaya boss wangu ni shamba langu!! So mbolea ndo shukrani kwa shamba langu.... Rais ni breadwinner wa anaowapa kazi!!
Zile kauli za Makonda ooh Magufuli asitenganishwe na Samia sisi wazee wa administration theories tulijua hatafika mbali... Ndalichako naye alikua nyuma sana kwenye kumsifia her Majesty!!
Huwezi kunyqmqza hata kumtupia tusifa twilight tutatu aliyekupa uwaziri aisee!!
Vijana hawana kazi na yeye hachukui round atapigwa chiniMhe.Ndejembi anachukua nafasi ya Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako ambaye uteuzi wake umetenguliwa
Hatawaweza wachuganian wazee wa betooh🤣🤣Arusha wing get ready
Depal mlewee tu nyumbani 😅
Mtu wa paybackTushwa tushwa tushwa, kashindwa kufika bei
Mnatetemeshwa na mchezo wa kitoto 'merry go around', kazi unayo basi. Kila siku hamisha hamisha, huu ni mzaha Sasa!Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Salaa na JK ni hapa na hapa Rizimoko Silent ocean GSM, 'Tajiri Mtata km Salaa....'ii) Amemteua Bw. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Kabla ya uteuzi huu Bw. Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Tushwa ndio nini au una UsingiziTushwa tushwa tushwa, kashindwa kufika bei
Huko Arusha Si ndio yule Ole nani Mbunge wa Semanjiro wamemshambulia na bunduki au Mimi sijasoma vizuri?Hivi vyeo ni vya kupita tu leo upo kesho haupo anakaa mwenzio ukishalijua hilo wala hautaaumbua kichwa chako