Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

In a sense and technically kashushwa. Ukila na kipofu usimguse mkono. Kwa kumtajataja JPM alikuwa anagusa hadi masikio. Ila upande mwingine kupelekwa Arusha ni mkakati kuelekea 2025. Msije mkamsikia anakuwa Katibu Mkuu CCM...
Teh teh teh.😃😃😃..mkakati upi huo tena?...kwani bila Makonda CCM haiwezi kushinda uko Arusha ,?
 
Mm nilijua kaletwa nchimbi basi atafagia mitaka taka yooote.katibu hana kelele ni mtu wa mipango zaidi.niliota ndoto flan naikumbuka mpaka kesho.inakribia kutimia
Kuna wakati kiongozi yapaswa vitendo vyako viongee sana kama mbinu anazotumia Nchimbi, chama kilijaa wapiga pambio bila mipango ya kuzikabili chaguzi.
Share hiyo ndoto kiongozi Kwa faida ya wote.
 
Makonda ilitakiwa ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya halafu apelekwe Mkoa aliopo Chongolo...
 
Makonda wenye chama wameona anawadhalilisha, wameona wampangie kazi nyingine ili aisiendelee kuaibisha chama.
Kilichomuondosha ni kusifia Mjomba Magu mara kwa mara na huku akisisitiza kuwa Dr Samia yupo same page na Mjomba Magu.
Kasahau kuna wenye nchi yao hawataki kusikia Magu akienziwa.So sad.
Lakini labda uwaziri wa wizara nyeti unanukia kabla ya 2025.
 
HAya ndio anayo yaweza, hakuna kingine anacho weza.

Mwaka wa tatu still anaunda Serikali, Ruto ana mwaka mmoja kazini ila alisha achana na teua, tengua, hamisha, mwaka wa tatu Raisi anaunda Serikali.
Ruto mbona amefanya uteuzi na utenguzi juzi tu hapa au yule ni Ruto Rais wa Comoro?
 
Ingekuwa rahisi Jamiiforums tupewe mkoa au wizara moja kama pilot kuonyesha mfano. Tupange safu yetu wenyewe, tuone shida nini
 
Hapa najiuliza je Makonda amefurahi kuondolewa ukatibu mwenezi ccm na kupelekwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha?

Je Ccm ingeshindwa na Chadema Arusha just tu kwa sababu makonda sio mkuu wa mkoa Arusha?

Je km katibu mwenezi mpya atakuja Arusha kumfokea makonda km makonda alivyokua anawafokea wakuu wa mikoa wengine? Je makonda cheo chake kinakua kimepanda au kimeshuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…