Zilisaidia nini zile Sanaa!? Eti hali ngumu! Mnaweza kuweka uchaguzi huru ili kipimo halisi kionekane!? Au ndio mtaendelea na ile ile " Refa wa mechi ya Yanga na Simba anateuliwa na GSM!?"Na kwa siasa na style zake ukweli Chadema walikiwa na hali ngumj.Sijajua mama Samia atamuweka nani mtu wa makeke
Huyu jamaa namuona sana kwenye teuziWatu wanabahati sana Dr Mhede amefeli TRA akafeli DART tena kapewa kazi?
Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Mwenyekiti wa bodi ana maamuzi Gani ya kibinafsi ya kiuendeshaji!? NMB ni taasisis ya umma!? Serikali inaweza endesha kitu Gani kwa mafanikio zaidi ya kufuga wezi!? Wageni hawawezi kubali waswahili wezi wachezee mitaji yao, ndio maana mambo yanaenda pale NMB.Dr Mhede hajawahi kufeli, kwanza ni mzalendo haswa na pili ni mchapa kazi. Kumbuka yeye ndiye mwenyekiti wa bodi ya benki ya NMB ambayo ndiyo taasisi ya umma yenye mafanikio makubwa kuliko taasisi nyingine yoyote nchini. Mwaka jana kufikia robo ya tatu ilikuwa ishatengeneza faida ya bil 569 faida ambayo haijawahi kutengenezwa na taasisi yoyote nchini na bado Rais wetu alimuongezea miaka mingine mitano na mwaka huu tunategemea makubwa zaidi. Kwa wanaomjua Dr Mhede, ni zaidi ya hazina.
Yeye anajali kwani! Atajali vipi wakati hatoi hata shilingi 100 Toka mfukoni mwake.Hivi huyu Mama Abdul anafahamu financial implicatio to the budget hii panga pangua yake ya kila kukicha? Anatuumiza wananchi kwa kukosa umakini kwake!
Porojo.Huyu kawekwa hapa kimkakati...
Kumbuka bodi ndio chombo cha juu cha maamuzi katika taasisi husika na ndio chombo kinachotengeneaa dira ya taasisi husika. Kwa nini tuyatenge mafanikio ya NMB na uongozi wa benki hiyo??Mwenyekiti wa bodi ana maamuzi Gani ya kibinafsi ya kiuendeshaji!? NMB ni taasisis ya umma!? Serikali inaweza endesha kitu Gani kwa mafanikio zaidi ya kufuga wezi!? Wageni hawawezi kubali waswahili wezi wachezee mitaji yao, ndio maana mambo yanaenda pale NMB.
Hiki cheo huwenda ni kikubwa mno!Atatumwa Waziri Mkuu kiserikali.
Mhh hicho cheo ni tishio kwa mtu anaejua kukitumia kama alivyokitumia Makonda,usije ona wanakifuta au kinavaliwa na wenye kofia mbili.
Mitatu tu!Mwaka wa tatu still anaunda Serikali
Nasikia atapewa Aloyce nyanda wa Sahara mediaNafasi ya makonda kapewa nani
Bado nakataa. Ndio maana nimekuuliza huyo Mhede ana maamuzi Gani ya kibinafsi ndani ya bodi!? Wawekezaji ndio walioiinua NMB! Nyingine ni porojo.Kumbuka bodi ndio chombo cha juu cha maamuzi katika taasisi husika na ndio chombo kinachotengeneaa dira ya taasisi husika. Kwa nini tuyatenge mafanikio ya NMB na uongozi wa benki hiyo??
Mama akiona Makonda anaupiga mwingiii Arusha na wananchi wakamkubali anamhamisha tena awamu hii haitaki speed πNahama Arusha watu wa dar nipokeeni πππ
Karibu dar es salaam shemejiNahama Arusha watu wa dar nipokeeni [emoji125][emoji125][emoji125]
Huna lolote unalolojua kuhusu cheo Cha uenezi alichokuwa nacho Makonda, kiufupi wewe ni mbumbumbu, hata ukielezwa huwezi kuelewaJibu la kijinga hili; tunajifariji kitu gani.
Mwenezi yuko juu ya mawaziri kwa kitu gani kama siyo imani itokanayo na ufinyu wa kuelewa mambo. Mwenezi ni msemaji wa chama; hana mamlaka ya kuteua au kufukuza mtu yeyote. Nguvu yake ni kusikilizwa tu, jambo ambalo hata mjumbe yeyote wa Halmashauri kuu analo