Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Kuna kutetemeka kwa hasira na kutetemeka kwa kuumwa.
Hao wananchi wanatetemeka sababu ipi kati ya hizo mbili!!?
Hao wananchi wanaotetemeka umewaona wapi!!??
Hiyo nchi kutetemeka ni "richter" ngapi inasoma!!??
Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
 
Dr Mhede hajawahi kufeli, kwanza ni mzalendo haswa na pili ni mchapa kazi. Kumbuka yeye ndiye mwenyekiti wa bodi ya benki ya NMB ambayo ndiyo taasisi ya umma yenye mafanikio makubwa kuliko taasisi nyingine yoyote nchini. Mwaka jana kufikia robo ya tatu ilikuwa ishatengeneza faida ya bil 569 faida ambayo haijawahi kutengenezwa na taasisi yoyote nchini na bado Rais wetu alimuongezea miaka mingine mitano na mwaka huu tunategemea makubwa zaidi. Kwa wanaomjua Dr Mhede, ni zaidi ya hazina.
Mwenyekiti wa bodi ana maamuzi Gani ya kibinafsi ya kiuendeshaji!? NMB ni taasisis ya umma!? Serikali inaweza endesha kitu Gani kwa mafanikio zaidi ya kufuga wezi!? Wageni hawawezi kubali waswahili wezi wachezee mitaji yao, ndio maana mambo yanaenda pale NMB.
 
Hivi huyu Mama Abdul anafahamu financial implicatio to the budget hii panga pangua yake ya kila kukicha? Anatuumiza wananchi kwa kukosa umakini kwake!
Yeye anajali kwani! Atajali vipi wakati hatoi hata shilingi 100 Toka mfukoni mwake.
 
Mwenyekiti wa bodi ana maamuzi Gani ya kibinafsi ya kiuendeshaji!? NMB ni taasisis ya umma!? Serikali inaweza endesha kitu Gani kwa mafanikio zaidi ya kufuga wezi!? Wageni hawawezi kubali waswahili wezi wachezee mitaji yao, ndio maana mambo yanaenda pale NMB.
Kumbuka bodi ndio chombo cha juu cha maamuzi katika taasisi husika na ndio chombo kinachotengeneaa dira ya taasisi husika. Kwa nini tuyatenge mafanikio ya NMB na uongozi wa benki hiyo??
 
Makonda hata apewe u DC popote atapowekwa ana FIT na Atang'aa tu.

Makonda si sawa na viongozi wengine ana waka popote atakapokaaa.

Ngojea uone ARUSHA itavyoanza kuwa na matukio saivi,MAkonda anatengenezewa CV na Mwisho ni Bungeni.

ni moja ya SILAHA za CCM msiichukulie poa ni risasi inayotegemewa sana na CCM.

Mnaomcheka chekeni kwa step,mnaweza kushangazwa tena mkatamani mfute comment zenu humu JF.
 
Kumbuka bodi ndio chombo cha juu cha maamuzi katika taasisi husika na ndio chombo kinachotengeneaa dira ya taasisi husika. Kwa nini tuyatenge mafanikio ya NMB na uongozi wa benki hiyo??
Bado nakataa. Ndio maana nimekuuliza huyo Mhede ana maamuzi Gani ya kibinafsi ndani ya bodi!? Wawekezaji ndio walioiinua NMB! Nyingine ni porojo.
 
Nadhani hii kauli yake ya majuzi aliyotoa kuwaonya viongozi wa juu waache unafiki imeleta shida kidogo. Napokuwa PM kwenye mkutano ni yeye wa kutoa kauli sio Katibu mwenezi, mawazo yake alikuwa ayatoe kwenye vikao vya chama.
 
Jibu la kijinga hili; tunajifariji kitu gani.

Mwenezi yuko juu ya mawaziri kwa kitu gani kama siyo imani itokanayo na ufinyu wa kuelewa mambo. Mwenezi ni msemaji wa chama; hana mamlaka ya kuteua au kufukuza mtu yeyote. Nguvu yake ni kusikilizwa tu, jambo ambalo hata mjumbe yeyote wa Halmashauri kuu analo
Huna lolote unalolojua kuhusu cheo Cha uenezi alichokuwa nacho Makonda, kiufupi wewe ni mbumbumbu, hata ukielezwa huwezi kuelewa
 
Back
Top Bottom