Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Ndalichako alifeli sana wizara karibu zote alizopita, pia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wa sasa akae chonjo..!!
 
Hiki ndio anacho weza kufanya mara nyingi KIZIMKAZI pale magogoni. Kuliko jambo lolote. Na anapenda mno kutengu na kuteua.






KAZI ni kipimo Cha utu.
Kufika augost 2025 walioteuliwa leo watakuwa wameishatenguliwa au kuhamishwa mara mbili au tatu.
 
Ni Mchopa kazi hodari
Mifumo iliopo ni mwiba Kwa wachapakazi..
At times si vema kutumbua CEO’s pekee panga lapaswa kwenda chini zaidi..
Kuna taasisi hata uweke malaika juu..Mazoea,Ushirikina,Ubwanyenye..

Why NMB inafanya wonders under yeye?
 
HAya ndio anayo yaweza, hakuna kingine anacho weza.

Mwaka wa tatu still anaunda Serikali, Ruto ana mwaka mmoja kazini ila alisha achana na teua, tengua, hamisha, mwaka wa tatu Raisi anaunda Serikali.
Ila magufuli alipokaa Zaid ya miaka Tano huku akiendelea kutumbua majipu yake ulikua unaimba kwaya tuh za hapa kazi tuh,mkoje wazee Parokia??
 
Uongozi ni muongoza njia. Anasimamia utendaji wa taasisi ili kufikia malengo na dira ambayo kimsingi bodi (anayoiongoza) ndio hupendekeza kwa maendeleo na ukuaji wa taasisi husika
Huko kwingine alikopelekwa alishindwa kuongoza!? Hana kitu huyo. Ndio walewale TU. Hamisha huku peleka kule performance sifuri.
 
Jamaa aliteuliwa uenezi akazurule kabla hajamaliza vizuri mizurulo yake wamemtengua.

Karibu chuganistan. Hapa ninaimani sana na wewe kullipa hili jiji vibe. Mongela alipoa sana.
 
Issue hapo ni Makonda...
Wahuni washapita naye
 
Dah, Wala nguruwe watupu ,ila watu wa dini ya haki na ya Mungu mmoja huwakuti kulalama juu ya uteuzi kuwa wa waabudu masanamu watupu!


Ila ingetokea tofauti ungeona hawa wanaharamu wangemtusi prezidaa
Nguruwe hatuli peke yetu TU sisi mnaotuita wanaharamu kisa TU hatufanani Imani, tunakula pamoja na hao unaowaita ndugu zako katika Imani. Ila usione wivu sana sisi kula nguruwe, hata wewe hujakatazwa, ni shingo Yako ngumu kufuata Mila za mwarabu kwani wazee wako walikuwa wanakula hadi panya.
 
Ila usione wivu sana sisi kula nguruwe, hata wewe hujakatazwa, ni shingo Yako ngumu kufuata Mila za mwarabu.

Huyo mdudu tumeharamishiwa kula, na amezungumziwa katika Qur'an, hivyo acha kupotosha watu.

Na waarabu wamewakaa kooni, hamuwapendi, chuki tuu zimewajaa vifuani, wakati wao hawana habari na wewe.

Poleni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…