Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Iwe dubwasha isiwe dubwana.....demotion completed.

Watoto wa mjini.....hapo hakuna mkakati wowote.

Ccm kushinda Arusha inaweza. A imeweza miaka yoote bila Makonda.
 
Hapana mkuu hio ni mkakati hapa Mama nimemuona ni mafia sana
Akili nyingi hizo🤣🤣
Mkakati dhidi ya nani?

Ccm inaweza kushinda mahali popote bila Makonda.
Tena Arusha ndio kama maji.

Mkakati kutoka UNEC umeshindikana uje uwezekane kwa RC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…