Theironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 336
- 903
Nope Hana akili hizo labda za kupaka Hina kaona mwambah anamfunika na uzuzuh wakeHapana mkuu hio ni mkakati hapa Mama nimemuona ni mafia sana
Akili nyingi hizo🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope Hana akili hizo labda za kupaka Hina kaona mwambah anamfunika na uzuzuh wakeHapana mkuu hio ni mkakati hapa Mama nimemuona ni mafia sana
Akili nyingi hizo🤣🤣
Iwe dubwasha isiwe dubwana.....demotion completed.Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?
Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.
CCM ni dubwana kubwa sana.
LiniKuna mdau alisema Makonda atakua mkuu wa mkoa.
2025 hio kaskazini ya kijaniAu ni lile suala la Salah?
Sikumbuki sikuLini
Mkakati dhidi ya nani?Hapana mkuu hio ni mkakati hapa Mama nimemuona ni mafia sana
Akili nyingi hizo🤣🤣
Arusha ni ngome ya upinzani au hujui hilo??Mkakati dhidi ya nani?
Ccm inaweza kushinda mahali popote bila Makonda.
Tena Arusha ndio kama maji.
Mkakati kutoka UNEC umeshindikana uje uwezekane kwa RC?
Kwani sasa hivi ni ya nani? Mnajifariji tu.....mmekula tena Knockout.2025 hio kaskazini ya kijani
Acha uongo........mpaka sasa ni ccm 100%Arusha ni ngome ya upinzani au hujui hilo??
Yaani sipati picha hapo chuga. Sema Gambo anaweza pata mbeleko ya Konda boyKonda boy, arusha kitawaka sana 2024_2025
Huenda akawa anaaga mashindano mdogo mdogo.Makonda kazi kwake,
Akafanye kitu huko Arusha
Wewe ndio Muongo ila inajulikana Arusha ni ngome ya chadema.Acha uongo........mpaka sasa ni ccm 100%
Ndio ulikuwa mkakati huo?upo sahihi, Jackson Msome aliyekuwa katibu wa uenezi wakati wa Mkapa, JK alipoingia 2005, aliteuliwa kuwa DC wa Bukoba.
Huwa nashangazwa na teuzi za wastaafu.Asha Rose Migiro anarudi tena kufanya nini?
ccm sijui wanatuonaje
Muda utaelezaYaani sipati picha hapo chuga. Sema Gambo anaweza pata mbeleko ya Konda boy
Makonda na Chongoro nani alikuwa mkubwa??Makonda kashushwa Cheo
Nimekuuliza mpaka sasa majimbo yoote, kata zoote,vijiji na mitaa ziko ccmWewe ndio Muongo ila inajulikana Arusha ni ngome ya chadema.
Uliona Chongolonjia aliyoondoka nayo? Was that normal?Makonda na Chongoro nani alikuwa mkubwa??
Chongoro mkuu wa wilaya
Makonda mkuu wa mkoa sasa nani kashuka hap??