Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Inaonekana ukishakaa kwenye system basi unatembea tuWatu wanabahati sana Dr Mhede amefeli TRA akafeli DART tena kapewa kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana ukishakaa kwenye system basi unatembea tuWatu wanabahati sana Dr Mhede amefeli TRA akafeli DART tena kapewa kazi?
Wafuasi wake wamebaki kujifariji tuKiboko yake si ndo angekua mwenezi wa Chama taifa? Yaani mtu wa jimboni tu analetewa mkuu wa mkoa amdhibiti? Tena mkuu wa mkoa aliyekua kwenye chama ngazi ya Taifa?
Pole sana Ndugu yanguNimepigwaje ndugu yangu.
Naenda kuichukua Mimi soon🙏🙏Nafasi ya makonda kapewa nani
AiseeInaonekana ukishakaa kwenye system basi unatembea tu
Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?Makonda ameshushwa cheo, ama kweli awamu hii GSM wana nguvu, hivi yeye bashitee hakujua hili? Polee yakee.
Alldbest mpwa ujipange TU na utenguzi mda wowoteNaenda kuichukua Mimi soon🙏🙏
🤣🤣Nimejipangahh inshalahAlldbest mpwa ujipange TU na utenguzi mda wowote
Hiyo ni promotion. Kituo kinachofuata ni Naibu waziri.Ameshushwa cheo na pia amewekwa Arusha kimkakati.
Huyu atasubiri sana. Faili lake hata Ikulu halijafika.Amemteua Lucas Mwashambwa kuwa chawa kiongozi jamiiforums.
Anyway tukiacha utani, Bashite kuna namna amegusa pasipogusika, na soon anaweza akarudi bench aendelee kuwa best loser!!
Mamlaka ya kukufungua vs mamlaka ya kukufungua? Ni andiko gani linasema hivyo bwashee?" Je Hujui kwamba Nina mamlaka ya kukufungua na Nina mamlaka ya kukufungua?"
Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?Makonda wenye chama wameona anawadhalilisha, wameona wampangie kazi nyingine ili aisiendelee kuaibisha chama.
Yule msakata kabumbu wa Liverpool 🤔Au ni lile suala la Salah?
Hapana mkuu hio ni mkakati hapa Mama nimemuona ni mafia sanaMakonda kashushwa Cheo
🤣🤣Na Yesu akamjibu:hungekuwa na hayo mamlaka,Kama hayajatoka kwa baba yangu🙏🙏Pilato akamwambia Yesu " Je Hujui kwamba Nina mamlaka ya kukufungua na Nina mamlaka ya kukufungua?"
upo sahihi, Jackson Msome aliyekuwa katibu wa uenezi wakati wa Mkapa, JK alipoingia 2005, aliteuliwa kuwa DC wa Bukoba.Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?
Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.
CCM ni dubwana kubwa sana.