Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Makonda ameshushwa cheo, ama kweli awamu hii GSM wana nguvu, hivi yeye bashitee hakujua hili? Polee yakee.
Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?

Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.

CCM ni dubwana kubwa sana.
 
Ameshushwa cheo na pia amewekwa Arusha kimkakati.
Hiyo ni promotion. Kituo kinachofuata ni Naibu waziri.

Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?

Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.

CCM ni dubwana kubwa sana.
 
Makonda wenye chama wameona anawadhalilisha, wameona wampangie kazi nyingine ili aisiendelee kuaibisha chama.
Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?

Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.

CCM ni dubwana kubwa sana.
 
Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?

Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.

CCM ni dubwana kubwa sana.
upo sahihi, Jackson Msome aliyekuwa katibu wa uenezi wakati wa Mkapa, JK alipoingia 2005, aliteuliwa kuwa DC wa Bukoba.
 
Back
Top Bottom