mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ngoja Tusubiri tuone !Kete imekaa sehem njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Tusubiri tuone !Kete imekaa sehem njema
Endeleeni kujifariji. Huyo mpumbavu hata weza Tena kuzurula na kupiga piga simu mawaziri.2025 hio kaskazini ya kijani
Ameshushwa cheo na pia amewekwa Arusha kkimkakaa
Basi sawa.Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?
Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.
CCM ni dubwana kubwa sana.
Hahaa Mkuu Jay Jay Nchi hii ina wajinga wengi sana tena wakubwa.Eti siasa za ccm kutafuta kuungwa mkono! Unachekesha sana. Bila majeshi ccm inaweza Fanya siasa Gani za kistaarabu. Ghafla umegeuka shehe Yahya, eti miaka 30 ijayo! Wewe inaweza jitabiria miaka Yako 30 ijayo!?
Bado yupo kwenye system kubwa ndo hilo,, na kawekwa sehem ya kimkakati, angewekwa huko Rukwa labdaEndeleeni kujifariji. Huyo mpumbavu hata weza Tena kuzurula na kupiga piga simu mawaziri.
Mkuu Tate Mkuu huyu Lucas Mwashambwa alikuwa mkulima nzuri Sana wa magimbi na parachichi hapa Mbodzi, tangia alianza kuwashabikia wakina Tulia mara Bashite ,Samia n.k ili apate teuzi ndio chanzo chakuua kilimo chake ila kwasasa labda amepata akili nakurudi kukamata jembeUtapata wapi neno na wakati kila siku unajipendekeza na kujitoa ufahamu kiasi cha kufikia hatua ya kuweka mpaka namba yako ya simu! Ili tu ukimbukwe!! Na bado umeishia kupuuzwa tu na wenye chama chao!
Vipi sasa!! Utaendelea kumsifia tena Paul Makonda kama enzi zile alipokuwa Katibu Mwenezi wa chama chenu? Dogo, mimi kaka yako nakushauri bora ukawekeza tu nguvu zako zote kwenye kilimo cha kahawa hapo Mbozi! ccm ina wenyewe! Na wewe si mmoja wao!
Kumbe unaandika andika TU hata taarifa huna! Punguza ujuaji wakati hujui kitu. Chongolo mkuu wa wilaya wa nyumbani kwenu labda.Makonda na Chongoro nani alikuwa mkubwa??
Chongoro mkuu wa wilaya
Makonda mkuu wa mkoa sasa nani kashuka hap??
its not easy2025 hio kaskazini ya kijani
Sana.Konda boy, arusha kitawaka sana 2024_2025
Kwa ule msafara wake kama Mhe Rais nilijua hachukui muda. Well done madame President.mno !
Mkakati Gani ambao unamtegemea Makonda!? Magufuli alivyoiba chaguzi nchi nzima , Makonda alikuwa na cheo Gani!? Huyo Makonda hana huu ukuu unaotaka kumpa. Juzi TU hapa alikuwa nobody kabla ya kukumbukwa.Hivi unaakili kweli . Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 haupo au uko mbele ya muda kwamba CCM amesha shinda uchaguzi wa 2025 unaelewa maana ya neno mkakati??
Bichwa kubwa akili ndogo .
Ndio mguu alioanza nao, Kwahiyo anaendeleza alipoanzia, tusubiri kuona Kama atamaliza kwa mguu huo huo, wa usiku.Huyu Rais huwa anatengua na kuteua usiku tu?!!!
bila shaka kajifungia chooni anabubujikwa na machozi ya uchunguMkiona jina la Lucas mwashambwa naombeni mniamshe
Inatakiwa uteuzi wa waziri wa pesa mtaani nao upate waziri,bajeti inapangwa hakuna mafungu,quarter zinapita mafungu hakuna,nini maana yake,KizimkaziMimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Samia unatampa rushwa Gani ili akuteue!?Wanachungulia PDF, tushwa zinatembea sana, ila kama huna connection hata kama una bil hupati, 90% wateule ni yushwa!