Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Ni wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.
kijana ya kazi,
anaenda kuweka seal, na kustamp ruling party authority lakini pia kumake sure northern zone yote, inakua ccm strong hold kama ilivyo central na lake zones 🐒
 
"Upele umepata mkunaji"
Ndg Makonda, deal na kero zote za mkoa huo, sikiliza shida za wamama, tatua mgogoro kati ya maingiliano ya bajaji na daladala, kaza zaidi katika usalama wa mkoa, shughulika na kero za barabara, utafaulu.
-KAZI NJEMA.
-The system.
 
Back
Top Bottom