Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

jumaa2

Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
37
Reaction score
90
Rais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango

Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela.

Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi Mstaafu na Mjasiriamali pamoja na Maryam Salim ambaye ni Meneja Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Cambodia wameteuliwa katika nafasi hiyo.

Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
 

Attachments

  • 1693425310245.jpeg
    55.5 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…