Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

Yaani Balozi Ami Mpungwe Mjumbe wa Mipango ? Haa Haa! Yaani vijana wote hao Tanzania hii,Mpaka wenye PhD za uchumi na Ma-Lectures wote hao wa vyuo Vikuu,Leo hii unamuweka huyo BABU Ami Mpungwe Mipango ? Mipango yake lazima ni ya kizamani.Hata nyumba zilizojengwa enzi zake akiwa active, au hata magari ya enzi zake yaliyokuwa ya Fashion,kwa sasa hayapo barabarani,sembuse yeye ! Huu ni utani wa watawala kwenye teuzi Muhimu ambazo zinahitaji mambo na watu serious.
Mkuu bongo kuna vituko - fisi ni janga
 
Back
Top Bottom