Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

Unajuwa nacheka sana nahisi ile kauli wakati wa ufunguzi wa Bunge Mh JK aliwahi sema isije fika siku watu wakachapa makaburi yetu nakusema hivi haya Mazee yalikuwa na akili kweli? Well itategemea kama atakubali feedback au atakataa nakusema anaweza. Muda utajibu maswali yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…