Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

Mimi naona huyu kiongozi wetu anachangamoyo za utimamu wa kiutendaji, haiwezekani asubuhi itangazwe naibu waziri wa kilimo halafu jion anabadilishwq kuwa naibu waziri wa mifugo na uvuvi. Inasikitisha kuwa na serikali ya bahati nasibu
Labda waliomsikia akitamka hawakufuata maelekezo yake...
NB: Kwa sasa hizo ni fursa za kurudisha fadhila. Usizichukulie serious sana. Wenzako wanaingiza maokoto!
Kama unakwazika ungana na wana-mabadiliko!
 
Hili taifa hilikuwa tayari kuongonzwa na mwanamke itachukua mda mrefu kunielewa na haitokaa tena itokee hivi miaka 50 ijayo mark my words


Jinsia ya mtu haihusiani chochote na uwezo wake kimaarifa na kiutendaji.















Hii awamu ni Reincarnation y 2005-2014, kunywa maji safari bado ndefu.
 


Madam President yupo kazini.

Sasa tupo hatua ya Recycling kwenye zile RRRR.



FaizaFoxy
 

Kwa mujibu wa hii CV ni wazi hajawahi hudumu Tanzania ama Kama alishahudumu basi ni kwa muda mchache sana na ni Tanzania visiwani most probably sio huku bara.

Sasa kwa mtu ambae hayajui mahitaji ya watanzania kinagaubaga Kama huyu ni rahisi kumpoteza ama yeye kuendelea kufanya kazi kwa theory tu na mwisho wa siku tusipate matokeo chanya Kama ambavyo wateule wengi wa Mzee Kikwete ambao ni diasporas hawakuonyesha maajabu zaidi ya kuondoka na kashfa.

Ngoja tuone…..
 
Ukiweka kwenye kekundu unaliwa ...weka kwenye keusi utakula
 
Mimi naona huyu kiongozi wetu anachangamoyo za utimamu wa kiutendaji, haiwezekani asubuhi itangazwe naibu waziri wa kilimo halafu jion anabadilishwq kuwa naibu waziri wa mifugo na uvuvi. Inasikitisha kuwa na serikali ya bahati nasibu
Bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…